February 14, 2025

Day

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia watafiti wake kimezindua tathmini ya mapato ya Kaboni (Carbon) kama njia endelevu ya uwezeshaji kifedha katika uhifadhi na usimamizi wa misitu ya jamii Tanzania ambapo lengo la mradi huo nikusaidia jinsi gani mapato ya Hewa Ukaa yanaweza kusaidia kifedha katika kusimamia na kuhifadhi misitu ya jamii ambayo hairuhususiwi...
Read More