April 12, 2025

Day

Halmashauri ya Mvomero wajivunia kupata elimu ya Mapato yatokanayo na biashara ya Kaboni kutoka kwa watafiti wa Chuo kikuu cha Sokoine Cha Kilimo, SUA na Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni, NCMC. Akizungumza na SUAMEDIA Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Bi Lily Haule amewapongeza watafiti hao kwa kufika Kijiji cha Masimba, Kata...
Read More