Warsha ya tathmini ya mapato ya biashara ya kaboni ilifanyika tarehe 10/04/2025 katika hoteli ya Mvuni iliyopo Korogwe ikiwa ni sehemu ya mradi wa “Tathmini ya mapato yatokanayo na biashara ya Kaboni kama njia Endelevu ya Usimamizi Shirikishi wa Misitu nchini Tanzania”. Wadau kutoka Vijiji vya Makangara na Gombero vya Korogwe, Tanga wakiwemo wanakijiji, Kamati...Read More