Warsha ya tathmini ya mapato ya biashara ya kaboni ilifanyika tarehe 10/04/2025 katika hoteli ya Mvuni iliyopo Korogwe ikiwa ni sehemu ya mradi wa “Tathmini ya mapato yatokanayo na biashara ya Kaboni kama njia Endelevu ya Usimamizi Shirikishi wa Misitu nchini Tanzania”. Wadau kutoka Vijiji vya Makangara na Gombero vya Korogwe, Tanga wakiwemo wanakijiji, Kamati...Read More
Wadau mbalimbali wakiwemo Diwani wa Kata ya Pemba Mheshimiwa Coster Peter Reuben, viongozi wa Kijiji, Kamati ya Mazingira ya Kijiji na baadhi ya wanakijiji wa Masimba wamepata nafasi ya kushiriki warsha ya tathimini ya mapato ya biashara ya Kaboni iliyofanyika katika hoteli ya Ushetu, Turiani, Wilaya ya Mvomero tarehe 06/04/2025. Warsha hii ili lenga kutathimini...Read More
Halmashauri ya Mvomero wajivunia kupata elimu ya Mapato yatokanayo na biashara ya Kaboni kutoka kwa watafiti wa Chuo kikuu cha Sokoine Cha Kilimo, SUA na Kituo cha Taifa cha Kuratibu Kaboni, NCMC. Akizungumza na SUAMEDIA Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Bi Lily Haule amewapongeza watafiti hao kwa kufika Kijiji cha Masimba, Kata...Read More
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kupitia watafiti wake kimezindua tathmini ya mapato ya Kaboni (Carbon) kama njia endelevu ya uwezeshaji kifedha katika uhifadhi na usimamizi wa misitu ya jamii Tanzania ambapo lengo la mradi huo nikusaidia jinsi gani mapato ya Hewa Ukaa yanaweza kusaidia kifedha katika kusimamia na kuhifadhi misitu ya jamii ambayo hairuhususiwi...Read More